@kariakoo_scafu
Mitandio ya silky inapatikana sasa hivi dukani kwetu/kwa bei ya 6000 jumla kuanzia pisi 10/UNAWEZA kushona LONG DRESS au SHORT DRESS au kujitanda kawaida Kwa mitindo tofauti fotauti/karibuni sana wapenz wateja/tunapatikana mchikichi na nyamwezi KARIAKOO - karibu na msikiti wa jamatini/ahsante
#mchikichinanyamwezi #kariakoo #sokoni #pendezanasi #pendezakwabeinafuu🇹🇿🔥🔥 #dresswell #silkydress #beachwear #9712469882