@dukamixed_items
Hello wapendwa tummywraps zinapatikana kwa bei nafuu. Tunayo mikanda aina zote mbili za material na zote zinapatikana kwa ubora unavyoelezaa kwenye video , zipo za Mita 5 yani ni mirefu unazungusha tena na tena na kulikaza tumbo lako vizuri kabisa😀
Material isiyo nzito bei 22,000/=…jumla 18,000/= kuanzia 3
Material nzito bei 32,000/=…. jumla 28,000/= kuanzia 3
Tunafanya delivery Dar na mikoani tunatuma kwa uaminifu. Karibuni sana!
☎️0711299610/ 0745804883
#tummywraps #tummywrap #banatumbo #mikandayakupunguzatumbo #mikandayakubanatumbo