@machinestanzania
Whatsapp/ Simu✅0785471806 hii ni Lutian diesel high pressure washer , 4600psi, 10hp diesel engine, inakuwa na starter ya Funguo na kick….inatumia mafuta vizuri Lita moja inaisha masaa manne , inadumu muda mrefu na inanguvu hata ya kuosha gari mbili kwa wakati mmoja
🔵3,000,000/= (gharama ya usafiri ni Bure, kwenda mikoa yote)
#machinestanzania #machinery #dieselpressurewasher #carwash #carwashing #pressurewasher #vijana #ujasiliamali #ajira #mashine