Takeer
@euro_car_parts_tz
Tumekuletea suluhisho la kudumu 'Aluminum thermostat housing ' mbadala wa plastic ya engine ya 2.7 na 3.0 . Epuka usumbufu na gharama kwa kuongeza ubora katika engine yako. 0763294739