takeer.com

Takeer

Takeer - Solar 4G Camera at shs 190,000/= (Limited Pieces) Hii Kiboko Kabsa ya Mashambani na
Site Locations
••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••...
takeer.com
@techbox_tz
Solar 4G Camera at shs 190,000/= (Limited Pieces) Hii Kiboko Kabsa ya Mashambani na
Site Locations
•••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••
Sababu 12 za kuwa na Solar 4G Camera (inayotumia line za kawaida za simu)
•Tunaelewa ni kwajinsi gan tunapata changamoto yakuwa mbali na mashamba yetu na hivo usimamizi kupungua vile vile pia kwa Site za Ujenzi na hivo kupelekea wizi kuwa mkubwa sana, hii Camera ni suluhisho la yote hayo.
• Camera special sana kwa matumizi ya Shambani, kwenye mifugo, Majumbani, Viwandani, Site za ujenzi
sehemu yeyote yenye changamoto ya umeme, na sehemu mbalimbali za biashara.
• Hautohitaji routers, pvr wala monitors zozote ili ifanye kazi, ukishakuwa nayo tu hii basi umemaliza hamna gharama za ziada
• Inatumia Solar charging hautohtaj kuwa na umeme sehemu unapoeka kwani yenyewe itajitegemea bila
tatizo lolote.
• Unaweka line ili kupata mtandao kama unavoweka kwneye simu yako ya mkononi, yani haitohtaj wifi ili
uweze kuona kwenye simu yako
• Waterproof IP66 haitosumbuliwa na mua kubwa, Radi, wala mavumbi.
• Ukifunga sehemu kama site na mashambani itakuwezesha kumonitor kila linaloendelea eneo hilo.
• Inamotion Sensor inayokuwezesha kupata notifications kipindi mtu anapita pia unaweza ukaset alarm ilie eneo husika mtu akipita.
• Ina two way communication itayokufanya kuskia maongezi ya pale ulpofunga camera na pia ukiongea watakuskia kupitia speaker zilzopo kwenye camera hizo.
• Colorfull nightivision, Usiku utaona clear kabisa sio kwa ukungu na muonekano wa usiku unaonesha hadi
rangi pia sio black and white.
• Comes with One Year Warranty
•••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••
Cash on delivery 📦✅
📍Mikocheni A
📞Call/whatsapp:0711011111
takeer.com
takeer.com
Play
takeer.com
Play
takeer.com
takeer.com
Play
takeer.com
takeer.com