takeer.com

Takeer

Takeer - Solar wifi camera 
Price:170,000/=tzs
Cash on delivery 📦✅
đź“ŤMikocheni A
đź“žcall/whatsapp:/Sababu 10 za kuwa na Solar wifi Camera (inayotumia Router...
takeer.com
@techbox_tz
Solar wifi camera
Price:170,000/=tzs
Cash on delivery 📦✅
đź“ŤMikocheni A
đź“žcall/whatsapp:0711011111/0769669090
Sababu 10 za kuwa na Solar wifi Camera (inayotumia Router)
•Tunaelewa ni kwajinsi gan tunapata changamoto yakuwa mbali na mashamba yetu na hivo usimamizi kupungua vile vile pia kwa Site za Ujenzi na hivo kupelekea wizi kuwa mkubwa sana, hii Camera ni suluhisho la yote hayo.
• Camera special sana kwa matumizi ya Shambani, kwenye mifugo, Majumbani, Viwandani, Site za ujenzi sehemu yeyote yenye changamoto ya umeme, na sehemu mbalimbali za biashara.
• Inatumia Solar charging hautohtaj kuwa na umeme sehemu unapoeka kwani yenyewe itajitegemea bila
tatizo lolote.
• Waterproof IP66 haitosumbuliwa na mua kubwa, Radi, wala mavumbi.
• Ukifunga sehemu kama site na mashambani itakuwezesha kumonitor kila linaloendelea eneo hilo.
• Inamotion Sensor inayokuwezesha kupata notifications kipindi mtu anapita pia unaweza ukaset alarm ilie eneo husika mtu akipita.
• Ina two way communication itayokufanya kuskia maongezi ya pale ulpofunga camera na pia ukiongea watakuskia kupitia speaker zilzopo kwenye camera hizo.
• Colorfull nightivision, Usiku utaona clear kabisa sio kwa ukungu na muonekano wa usiku unaonesha hadi
rangi pia sio black and white.
• Comes with One Year Warranty
takeer.com
takeer.com
takeer.com
takeer.com
Play
takeer.com
Play
takeer.com
takeer.com