@breastpumptz
S12pro
260,000/- (Single)
500,000/-(double)
- Inakuja na Standard flange size moja ( Flange size zingine zinauzwa pembeni )
- Baada ya 30mins inajizima hvyo inakamuwa 5-6sessions
- Ina kipengele cha kuhifadhi kumbukumbu kinachosaidia kuhifadhi data ya kila Session baada ya kila matumizi, hivyo kuhakikisha kuwa haukosi mwendelezo wako wa kupump.
- Inauwezo wa Kupause pumping wakati unakamuwa maziwa.
- Sauty yake ni ndogoo
- Silicon yake ya kubana ipo extra thick
- Inanguvu kwenye kukamuwa maziwa
- Inakuja na chart ya kupima size ya chuchu yako ili kujua flange size inayokufaa
- Inakuja Na Wire wa Type C Ambao unakupa Uwezo wa Kucharge popote Ulipo
- Inakuja na Kifuko chake ya kuhifadhia pump yako.
- Inakuja na manual yake ya kukuelekeza jinsi ya kutumia machine yako.