@breastpumptz
Kwa nini uwe na wasiwasi wa kumuacha mtoto wako peke yake chumbani ?
Ukiwa na Baby Monitor yetu unaweza kumuona na kumsikia mtoto wako popote nyumbani, Shughuli zako zinaendelea bila wasiwasi, ukijua mtoto wako yupo salama.
Bei: Tsh 500,000/-
Piga/SMS +255 653 661 111 Uletewe Chap.
Kariakoo, Lumumba na Morogoro road
Vipengele:
* Kamera ya 1080p full HD
* Screen ya inchi 5
* Bila Wi-Fi + salama dhidi ya kuingiliwa
* Unganisha hadi Kamera 4
* Spika wa pande mbili
* Betri inayoweza kuchajiwa ya 5000mAh inayodumu muda mrefu
* Uwezo wa kuona vizuri usiku (Night vision)
#breastpumptz #breastpump #wearablebreastpump #portablebreastpump #momcozy #lactationmassager #momcozybabymonitor #breastpads #storagebags #wirelessbreastpump #Bottlewarmer #portablebottlewarmer #S12pro #M5Latest #M5 #momcozyS12pro #momcozyM5 #kariakoo #maternity #nipplecream#momcozyportablebabywarmer