@topfitness_tz
Spinning bike
Sasa kwa kutumia spinning bike Bora na original unaweza kupunguza idadi ya kilo na kiwango cha mafuta unayotaka mwilini
Spinning bike hii ni Bora kwakua inaonyesha speed distance calories burn mda pamoja na mapigo ya moyo
Kwa bei poa kabisa yaani tsh 450,000
Ikiwa ni mpya na yenye warranty ya miezi 12
Kwa kutumia spinning bike
Punguza uzito uliokithiri
Punguza mafuta mwilini
Weka mzunguko wa dam sawa
Jenga mwili na imarisha misuri na mifupa hada kwa wazee
Delivery ipo kwa wateja wa dar es salaam
Mikoani tunatuma pia
Tupigigie au Whatsapp kwa 0762391169
Tupo Dar es salaam kariakoo
Karibuni sana