@topfitness_tz
MULTIFUNCTIONAL BENCH
Ni moja Kati ya bench iliyoundwa kwa material bora na imara kabisa
Ni bench ambayo inakuwezesha kufanya mazoezi yote ya bodybuilding ikiwa pamoja
Mkono wa mbele (biceps)
Mkono wa nyuma (triceps)
Mabega
Mgongo (back)
Miguu
Tumbo (baada ya kubadilisha angle)
Kifua (chest)
Squat ( kwa kutumia bar na weight)
Glutes kwa kina dada ( kwa kutumia 50kg set )
Bei ni tsh 850,000 full package
Pia kama utahitaji bench pekeake utaipata kwa tsh
550,000
Weight Pekeake ni tsh 350,000
Kwa wateja wa dar Utaletewa na kufungiwa bila shida yoyote na utalipia baada ya migo kufika
Mikoani tunatuma kwa uaminifu mkubwa mno
Zanzibar pia utatumiwa bila shida
Tupigie au WhatsApp kwa 0762391169