@zeromoja_
Tumebakiza followers 6,000/=tuuuπππ tufikie Ile target yetu ya mwaka huu kama mnakumbuka kwa pamoja tulipiga kura kua target iwe 50k followers π
Tupo hapoπ 44k Followers π π π
Mmetisha sana wateja wetuππ
Aksante sana π