takeer.com

Takeer

Play
Mute
takeer.com
@ob_mitumba_store_
BAADHI YA BEI ZA MASHUKA TULIONAYO
-
Shuka cream (mpya hazijatumika) zinakaa shuka 2 na foronya 4 (set moja iyo) , shuka ni #COTTON 100% size kubwaa kabisaa ya mwisho 8/9
😊shuka hazichujiii wala kutoaaa vipeleeee au nyuzinyuzi
-
Balo lina set 25 (manake shuka 50 foronya 100) hizi ni shuka zenye urembo au maua tofauti tofauti au muonekano tofauti tofauti
-
Bei ni 840,000/= TU 😊😊😊😊
-
Pia kuna shuka 2 na foronya 4 za material ya polister set 20 bei 710,000/= kama kawaida set moja ni shuka 2 na foronya 4 hizi nazo zinakua za kufanana izo kwa set pia kuna ambazo za set zake hazifanani tunaita REVERSE⛔️ haya ni YA UGANDAAπŸ‡ΊπŸ‡¬
-
Pia kuna balo za shuka nyeupe (zenye mistari kwa mbali ) set 25 (set moja ni shuka 2 foronya 4) pia 900,000/= afu kuna nyeupee peeee bila mistari ni 900,000/= pia
-
vile vile kuna za mtumba pasipo foronya bei ni 420,000/= pc 70-80 za dubai cream yake ambazo hazina foronya ni 480,000/= hizi size zinakua mix size zake mchanganyiko na pia material ya shuka ni mchanganyiko pia pia kwenye hili kundi kuna mashuka ya canada 480,000 no 1 grade A n.k
-
Pia zipo za china cream 290,000 mpya ambazo hazijatumika pc 60+ pia hizi size na material ni mchanganyiko
-
Wakati shuka za china zilizotumika grade A ni 250,000/= tu pc 60+
-
Vile vile tuna balo la shuka peker bila foronya za size kubwa tu 8/9 cotton 100% ni 700,000/= pc 50+ kuna za uk / pakistan / uganda βœ…
-
Pia tuna balo za bedcover pekee , bedcover mix bedsheet n.k pia kuna balo za foronya pekee akee
-
Call | sms | whatsapp
0654465202
-
Disclaimer 🚫 : This page does Not affiliated with any brands / products involved in the video posted or picture posted
takeer.com
takeer.com
takeer.com
takeer.com
takeer.com
takeer.com
takeer.com
Play