@vee9_collectiontz
Feedback za wateja wetu
Maboss izi slim wallet sio za kukosa kabisa
Tusiopenda mfuko kutuna chap kabla hazijaisha
✅Ni imara , ya kipekee na kijanja
✅portable , mfuko wowote zinakaa
✅slim hlf hazituni kabisaa mfukoni
✅ukiweka mfukoni haionyeshi kabisa kuwa kunawallet
✅ zaidi ukiitoa mfukoni ni lazima utaulizwa umenunua WAP?!
☎️ 0672796025 upate yako