takeer.com

Takeer

Play
Mute
takeer.com
@mabati_bomba_tz
❇️BATI YENYE WINGI WA MADINI YAPI NDIO BORA ZAIDI NA KWANINI....????

FAHAMU KUHUSU UMUHIMU WA MADINI YA ALMINIUM KWENYE BATI ZETU.

✅HAIPATI KUTU
Sifa kubwa ya madini ya ALMINIUM huwa haipati kutu kabisa, Bati zetu hazipati kutu sababu zina wingi wa madini ya Alminium kuzidi Chuma.
Bati zetu hustahimili vipindi vyote vya mabadiliko ya hali ya hewa yani ije MVUA lije JUA ubora upo pale pale...

Bati zetu ni zenye wingi wa madini ya Alminium na hupelekea hata bati ikipigwa na Jua kiasi gani HAIWEZI KUPAUKA, ila pia hata ikipigwa na MVUA haiwezi KUPATA KUTU kwani ina wingi wa madini ya Alminium na sio CHUMA.

Fika kiwandani kwetu na kama upo mkoa wa mbali basi unaweza muagiza muwakilishi wako yeyote aliopo DAR ES SALAAM tutampokea na kumpa Elimu juu ya Bati zetu kabla hujafanya maamuzi ya ununuzi wa Bati ila pia unaweza tupigia kwa kupata Elimu juu ya upaukaji wa Bati.

Tupo tayari kukusikiliza na kukuhudumia ukiwa kama mteja..

Hapo tukiwa tumekupa offer ya USAFIRI BURE MIKOANI KOTE ,

MISUMARI KG 5 BUREE.

T-SHIRT MOJA SIZE YAKO BUREE

FOLLOW,
@mabati_bomba_tz
@mabati_bomba_tz
@mabati_bomba_tz

CALL/WHATSUP 0719 669 488/ 0745 455 903.
.
.
#mabatiborayakisasa #theroyaltour #mgongompana #dragonmabati #mgongomdogo #usafiribure #misumarinzuri
takeer.com
takeer.com
takeer.com
takeer.com
takeer.com
takeer.com
takeer.com
Play