@mazoezi_empire
Vibration Plate
Ni mashine ya mazoezi ambayo inatumia Mtetemo kwaajili ya kupunguza mafuta mwilini.
Faida zake ni zifuatazo
▪️Huongeza nguvu ya misuli.
▪️Husaidia kupunguza uzito wa mwili
▪️Huongeza wiani wa mfupa.
▪️Inaboresha mzunguko wa damu
▪️Hupunguza maumivu ya mgongo na ugumu.
Bei ni 650,000/=
Call/Whatsap
0757867969
Free delivery Dar es salaam delivery