@cello_plastic_product
Kazi ya Storage box
1.kuhifadhia vitabu na documents mbalimbali.
2. Kuhifadhia nguo.
3. Kuhifadhia nyama(kuku aliyechinjwa na kuandaliawa vizuri).
4. Kuhifadhia mbogambiga
5.kuhufadhia vyakula , kama mchere ,unga , maharage n.k
6. Kuhifadhia midoli na toys za watoto
Navingie vingi ,
Zinapatikana ktk size 2 (Big & medium) zina sehemu ya kushikilia na kujishikiza pia zina tyre kwa chini , zinazosaidia kuterezesha sakafuni pindi unaziburuza zikiwa na mzigo mzito .
.
Kwa maelezo zaidi piga/whatsap
+255 743 343 534
+255 692 995 786
E-mail
alisearchtz@gmail.com