@subby_beauty_store
Mafuta ya Amla ya wakubwa na watoto yapo. Sifa ya hawa mafuta yana refusha nywele, yanatoa muwasho, yanatoa mba, yanafanya nywele ile nyeusi, yanajaza nywele, yanaotesha vipara, yanatoa mvi zinazoanza. Yapo ya maji na ya mgando.
Pia kuna conditioner ya watoto na wakubwa. Inaipa nywele afya na kufanya iwe nzito huku ikifanya iwe laini na rahisi kuchana, inazuia nywele zisikatike
Shampoo inasafisha nywele vizuri na kuacha nywele ikiwa safi, laini,inatoa mba na muwasho na kuacha kichwa safi na salama
Amla poda inapunguza uzito, inabalance sukari mwilini, imabalance hormones, inasaidia wanaopata shida ya haja kubwa. Na faida nyingine nyingi kwa afya ya mwili na ngozi
Kila kimoja utapata kwa elfu 15 tu
Tupigie au watsup 0714746278
Dodoma tunafanya delivery na mikoani tunatuma unalipia kutokana na umbali