takeer.com

Takeer

Takeer - New arrival  New arrivalšŸ”„

Wapenz  wateja wetu dukani  tumewaletea bidhaa nzuri za lishe kwa ajili ya watoto.

Ni unga Asilia wa uji wenye Almonds...
takeer.com
@jolynn_kids_fashion22
New arrival New arrivalšŸ”„

Wapenz wateja wetu dukani tumewaletea bidhaa nzuri za lishe kwa ajili ya watoto.

Ni unga Asilia wa uji wenye Almonds, korosho na Oats ambazo hazijakobolewa.

ā—Unaongeza uzito wa mtoto kwa Afya
ā—Ni mlaini unaboresha mmeng'enyo wa chakula na kuondoa kifunga choo
ā—Una ladha nzuri sana na unaongeza hamu ya kula
ā—Una virutubisho muhimu sana kwa ajili ya ukuaji bora ubongo wa mtoto
ā—unabust kingamwili za mtoto kumfanya mtoto kuwa na afya bora.

Price tshs 13,000/=

Tunapatikana Dodoma Mlimwa C Mizigo tunatuma Mikoa yote kwa Uaminifu na kwa Uharaka.

Call/WhatsApp 0714 041 962
takeer.com
Play
takeer.com
Play
takeer.com
takeer.com
Play
takeer.com
takeer.com
takeer.com