@quality_electronics_tz
SOLAR 600WATTS, 800WATTS AND 1000WATTS ALL IN TWO STREET LIGHTS AVAILABLE
USIRUHUSU ENEO LAKO LIKAE GIZA NA KUA HATARI KIUSALAMA WAKATI TUMEKULETEA SOLAR 600WATTS, 800 WATTS NA 1000 WATTS STREET LIGHTS ambazo zina mwanga mkali sana kwa bei nafuu sana. Taa hizi zinatumia NISHATI YA JUA kujicharge na zinajiwasha automatically giza likiingia na kujizima jua linapochomoza(INTELLIGENT LIGHT CONTROL) na pia Unaweza kuiweka na kuichomelea kwenye bomba ni Taa nzuri sana ina kuja na screw zake za kufanyia mounting na pia inakuja na wireless remote ambayo inakusaidia kuwasha na kuzima taa wakati wowote utaohitaji Na pia itakusaidia kubadilisha mode kwasababu taa hii ina motion sensor mode na pia inauwezo wa kuwaka muda wowote kwenye HIGH BRIGHTNESS MODE. Taa hii ni IP65WATERPROOF. Taa hizi unaweza kuzitumia kwenye fence na entrance gate, yard, viwanja vya michezo, Shuleni, eneo Za biashara, bustani, hotels, store, basement, swimming pool, Shambani na viwandani.
NB:
✅BEI YA SOLAR 600 WATTS STREET LIGHT NI TSHS 170,000/= TU KWA KILA MOJA.
✅BEI YA SOLAR 800 WATTS STREET LIGHT NI TSHS 220,000/= TU KWA KILA MOJA.
✅BEI YA SOLAR 1000 WATTS STREET LIGHT NI TSHS 250,000/= TU KWA KILA MOJA.
UKINUNUA TAA HII UTAPATA WARRANTY YA MIAKA MIWILI.
TUNAPATIKANA NOFAL OIL PETROLEUM STATION KIGOGO POLICE POST DAR ES SALAAM
KWA WAKAZI WA DAR ES SALAAM TUNAFANYA DELIVERY HADI ULIPO KISHA NDIO UNALIPIA GHARAMA YA BIDHAA NA USAFIRI MZIGO UKIKUFIKIA MKONONI, MIKOANI PIA TUNATUMA KWA NJIA YA MABASI
KWA WATEJA WETU WA MIKOANI KWASASA HATUNA MAWAKALA utaratibu ni Unakamilisha malipo yako( GHARAMA YA BIDHAA NA YA USAFIRI) kisha tunakutumia mzigo wako wa USALAMA NA USALAMA MKUBWA.
CALL/ TEXT/ WHATSAPP: +255772950779
KARIBUNI SANA.