@ikitanzania_ltd
Pure plastic net available!
Net hii imekuja kua mkombozi kwa wafugaji kwani ni imara sana ukitofautisha na zile za chuma zinashika kutu ila hii utatumia wewe mpaka wajukuu🤭
Unaweza kuitumia kwenye mabanda ya kuku na mifugo mingine, wengine wanaitumia kama fence wire kutenganisha mifugo yako.
Inakua na urefu wa mita 20 na upana wa mita 2, bei yake ni tsh 250,000/= tu
Tupo Temeke Vetenary dar es Salaam, mikoani tunatuma pia kwa gharama nafuu kabisa
Tupigie simu au whatsapp #0755141414