@zeromoja_
SALOON/GYM TOWELS 🔥🔥
Watu wengi wa saloon wamekuwa wakiulizia hizi towel kwa sababu rangi zimekuwa zikiharibu white towels kwakuweka madoa nakuzifanya zisidumu kwa muda mrefu.
👌Tumewafikiria na tumewaletea hizi black towel🔥
👉Hazioneshi madoa
👉hazififii
👉zinadumu kwa muda mrefu
👉zinakausha maji vizuri na haziachi vinyoya
Pia unaweza kutumia kama gym towel
Size 50* 90 cm..... 20,000/= (tatu 55,000)
📌Tunapatikana mbezibeach chini Bara Bara ya Mwai Kibaki Karibu na sheli ya Oryx, Opposite Mbezibeach primary school
#handwovenrugs
#bed #bath #kitchen
#bedsheets #pillows #softblankets
#bathtowels #bathsheets #bathrobes#towels
#kitchengloves #kitchentowels #fruitbasket #tablecloths
#mashuka
#taulo #mito #facetowels #kidsbathrobesvancouver