@pendokids
Niacinamide 10%+ Zinc 1%
✅Hii ni serum nzuri sana kwa watu wenye chunusi na dark spots
Niacinamide ina water soluble vitamin ambayo inasaidia kupunguza ukubwa wa pores,Mafuta usoni pamoja na pigmentation
✅Na 10% niacinamide iko lwa ajili ya pigmentation
💃Ni clinically proven to brighten skin after 4 weeks
💃100% ina clear skin
💃91% ya watumiaji wameshuhudua ukubwa wa pores za uso zimepungua
Bei: 55,000