@wax_beans_tz
Thanks dear for shopping with usππ @crowned_sabylove_beautycentre Oda ya mteja wetu tayari kuelekea dodoma
.
Kama upo dodoma na unahitaji huduma zote za SPA Kuanzia kufanya waxing na mambo yote ya facial muone huyu @crowned_sabylove_beautycentre