@gg_cosmetics255
KIZURI SHEA NA MWENZIO … NEUTRIHERBS LOTION
Kama mnavyojua vitamin C ni kiungo kizuri sana mwilini kwanza inafanya ngozi iglow 💫ukiwa unatumia vitamin c tegemea ngozi kuglow.
🌸Mafuta mazuri yanangarisha
ngozi
🌸Yananyoosha ngozi za mwili
zilizokunjamana
🌸Yanafanya ngozi inakuwa na unyevu
🌸Ni anti aging
🌸Yanamaliza michiziri iliyosababishwa na ngozi kuwa kavu au matumizi ya vipodozi vikali (strech macks ).
🌸Yanamaliza chunusi na mapele.
🌸Yanamaliza alama zilizoachwa na
chunusi au mapele
🌸Yanatumiwa na wanaume na
wanawake.
🌸Ni mafuta mazuri kwa kufanya
ngozi iwe na nuru.
🌸wale wenye vidoti vyeupe mwilin
na miguuni hii si ya kukosa
🌸Ni org (haina kemikali)
Wasiliana nasi whtsup no 0756493035
Tinapatikana kariakoo Bonde na mkunguni