@juliana_starlook
Inakuja na mkanda wake kama unavyoona kwemye picha lakini pia unaweza kuvaa bila mkanda .Hizi zimebaki chache pia
Tsh 35000
Ina material shifon quality
Size L XL XXL
Tupo kariakoo mtaa wa narung’ombe na Congo jengo la Mandela jr pandisha ngazi duka la pili kushoto
Dar Tunafanya delivery kwa haraka
Mkoani tunatuma kwa gharama ya mteja
Follow page yetu kujionea vitu Vizuri zaidi