@toolz255
Ferrex Cordless Nail/Staples Gun 18V
Mashine ya kugonga misumari midogo special mpaka inch 2 na pin za sofa/mabango U shape 6mm 1¾" ndani. Mashine ni mpya kwenye box na inakuja na misumari na pin zake kwenye box, charger na battery mpya ya kisasa 18V
Bei 230,000
0745522280