@koreanbeauty_tz
LINAPOKUJA SWALA ZIMA LA KUILINDA NGOZI NA MIONZI YA JUA, SUNSCREEN NDIYO PRODUCT PEKEE INAYOFANYA KAZI HIYO.
TUNA SUNSCREEN TOFAUTI TOFAUTI KATIKA STORE YETU...LEO NIMEWASOGEZEA SUNSCREEN HIZI PENDWA NA MASHUHURI KUTOKA KOREA
ISNTREE HYALURONIC WATERLY SUNGEL..NZURI SANA NA INAFAA KUTUMIKA NA NGOZI ZOTE AMBAZO ZINAHITAJI HYDRATION PIA.
50,000
MISSHA AQUA SUNSCREEN.
INAFAA KWA COMBINATION NA OILY SKIN ...45,000
CENTELLA HYALU CICA WATERLY SUN SERUM..NI HYDRATING SUNSCREEN NZURI KWA NGOZI AINA ZOTE.50,000
COSRX ALOE SOOTHING SUN CREAM
BEST FOR OILY AND OILY SENSITIVE SKIN.
45,000
BEAUTY OF JOSEON SUNSCREEN
NI SUNSCREEN NZURI SANA KWA COMBINATION NA DRY SKIN.
WENYE OILY SKIN WANAWEZA KUTUMIA ILA INAFAA SANA WAKITUMIA KWENYE MAENEO YENYE BARIDI...50,000
SUNSCREEN ZOTE HIZI ZINAPATIKANA KATIKA STORE YETU
TUNAPATIKANA SINZA MORI JIRANI NA KITAMBAA CHEUPE
WASILIANA NASI KWA KUGUSA LINK KWENYE BIO ITAKULETA MOJA KWA MOJA WHATSAPP
AU TUPIGIE 0711 612 370