@crbagro_incubators_cages
Pichani ni mashine maalumu kwa ajili yakupukuchua karanga tunawakaribisha wazalishaji mbalimbali wa karanga nchini kutuchagua ,zaidi tutoe pongezi na shukrani za dhati kwa kijana mjasiriamali @vonnakox kwa utambuzi wakutumia dhana zakisasa katika uzalishaji wake wa karanga itoshe kusema yeye ni mzalendo ,endelea kuwasiliana nasi kwa taarifa zaidi kupitia
Huduma kwa wateja
+255658972488