@sitty_spare_parts
Leo Nimeamka Na Wazo Hilo Kwa Ajili Yako La Spare Parts, Na Ilikua Ni Baada Ya Jana Kufanya Darasa La Biashara Mtandaoni Na @sitty_spare_parts Wauzaji Wa Vipuli (Spare Za Pikipiki) Kwa Bei Za Jumla Na Rejareja ( Walikua Hawapo Mtandaoni Kabisa) Baada Yakuwafungulia Account Nikaona Nikushtue Na Wewe Kuhusiana Na Hilo Chimbo La Jumla La Spea Za Pikipiki Ambazo Kama Ukifanya Biashara Unaweza Kupata Fedha Nyingi Zakujikimu Kimaisha Na Kukuza Na Kutimiza Ndoto Zako.
Ukitoka Biashara Ya Mazao, Biashara Nyingine Inayoongoza Kwa Kutengeneza Faida Kubwa Ni Biashara Ya Spea Ambapo Ukiamua Unaweza Kuifanya Kama Biashara Yenye Faida Nzuri Lakini Pia Biashara Yenye Bidhaa Ambazo Hua Zina Uhakika Mkubwa Wakuuzika Kila Siku.
@sitty_spare_parts Wanasema Ukiwa Na Mtaji Wa Million 2 Unaweza Kuanza Biashara Ya Spea Na Ukatengeneza Faida Ila Ukiwa Na Million 5 Unaweza Kuanza Biashara Na Ukatengeneza Faida Zaidi. Wapo Kariakoo Dar Es Salaam Tembelea Ukurasa Wao Kuna Bidhaa Kwa Bei Za Jumla Na Rejareja Kama Pia Utataka.
UNAHITAJI CHIMBO LA BIDHAA GANI? NIANDIKIE KWENYE COMMENT HAPO CHINI, NITAKUTAJIA CHIMBO LA UNACHOTAKA.