@sitty_spare_parts
Unatamani Kuwekeza Kwenye Hii Biashara Kwa Mtaji Wa Tsh 3,300,000 Na Ukaifanyia Usimamizi Wake Kwa Njia Ya Mtandao?.....
Hii Ni Kwa Wale Waajiriwa Ambao Hawana Muda Wakusimamia Biashara Au Watu Binafsi Wanaotaka Kufungua Biashara Zao Za Pembeni Lakini Wale Wenye Mitaji Ambao Hawajui Kwamba Ni Namna Gani Ambavyo Wanaweza Kufanya Uwekezaji.
Wazo Hili Nimelihusisha Moja Kwa Moja Na Mtandao Maana Lengo Nikukuelekeza Jinsi Gani Ambavyo Unaweza Kuingiza Fedha Kwa Njia Ya Mtandao.
KAMA UNAHITAJI SPARE KWA BEI ZA JUMLA TAZAMA KURASA NIMEI TAG HAPO JUU.