@juliana_starlook
Zingatia hii kwamba Nguo zetu sio yebo yebo!!
Sisi ni wauzaji wa nguo za kike aina zote za kipekee,zenye ubora na bei zetu ni rafiki kwa kila mtu. Pia tunatoa ushauri wa mpangilio wa mavazi kutokana na muonekano wako na mwili wako , ushauri tunatoa bure kabisa
Pia tunatoa Huduma za sare kwa vikundi mbali mbali Kama kwaya, wafanyakazi, vicoba, nk. Njoo tujadiliane,tushauriane na tukubaliane mpate sare itakayofanikisha shughuli Au tukio Lenu. Kumbuka!!! Sare hata ikiwa pice 1000 zinapatika kwa wakati kabisa.
Tupo kariakoo mtaa wa narung’ombe na Kongo jengo la mandela JR pandisha ngazi ulizia kwa dada Juliana Au piga simu 0682238321
Kwa nguo nzuri za kisasa follow page yetu @juliana_starlook @juliana_starlook @juliana_starlook
Uendelee kujionea vitu Vizuri Kutoka kwetu
#vigauni# #nguozakike#