@koreanbeauty_tz
Tume restock Product hii ni nzuri sana kwa wale wanaosumbuliwa na hyperpigmentation/ melasma na rangi mbili mbili usoni zinazotokana na matumizi ya vipodozi vikali. Cream hii kutoka @medipeel.official_global inasaidia sana kuondoa rangi rangi usoni na kukuacha ukiwa na rangi yako ya asili nzuri na yenye afya. Sasa zinapatikana dukani kwetu kwa bei ya 60,000/= TZS. Wateja wa jumla pia mnakaribishwa.
Tunapatikana Sinza Mori Opposite na Kitambaa Cheupe
Tanzania 0711 612 370
WhatsApp [Link kwenye Bio]