@builderschanneltz
BACKPACK GASOLINE BLOWER
Specialities
🔹 air speed (195 MPH)
🔹3.8 HP
🔹4 STOKE
Hii ni heavy duty machine inayotumika kusukuma uchafu, taka, vumbi kwa nguvu na sehemu zenye taka nyingi ..
Machine hii inatumika kusafishia mabarabarani, jalalani , na hata wenye kampuni za usafi ..