Takeer
@builderschanneltz
EDON COMPRESSOR
Machine hii inatumika kwenye kupaka rangi magari, kujaza upepo matari ya magari , pikipiki na hata scania
Silent zinakua hazina kelele zaidi na ni nzuri kwa matumizi sehemu mbali mbali
Tunauza jumla na reja reja