@builderschanneltz
TOWERLIGHT GENERATOR
Hii generator inasaidia kumulika seheme za kazi zenye giza mfano migodini.. inamulika sehemu kubwa sana na kuwezesha kazi kufanyika hata sehemu ambazo umeme bado haujafika..
Utazipata kwetu BUILDERS CHANNER
Complete set ya taa nne pamoja na Generator yake
Karibuni posta ofisini kwetu kwa mahitaji ya kuziona