@builderschanneltz
VACKSON AIR COMPRESSOR 200 L
Hii compressor ni ya petrol hivyo hauhitaji umeme wala generator ukiwa hauna umeme.. unaweza kuiwasha na kupiga kazi kama kawaida wakati wenzako wakisubiri umeme urudi..
Ina ujazo mkubwa sana na inaweza kupiga rangi na kujaza upepo wa tairi za magari makubwa (scania)
Karibuni sana mjipatie bidhaa za uhakika
WARRANTY 1 YEAR