takeer.com

Takeer

Takeer - Unlock the hidden power of your diesel engine with our game-changing DPF cleaner! Discover how it can boost performance and efficiency like never b...
takeer.com
@leistunglubes
Unlock the hidden power of your diesel engine with our game-changing DPF cleaner! Discover how it can boost performance and efficiency like never before! 💥🚀🔧

✅Improved Performance

✅Fuel Efficiency

✅Extended DPF Lifespan

✅Emissions Compliance

✅Enhanced Engine Longevity

DPF CLEANER ni bidhaa inayotumika kusafisha (DIESEL PARTICULATE FILTER) kwa magari yanayotumia diesel na yenye kifaa hicho cha DPF. Mara nyingi watumiaji wa magari yenye DPF hukumbwa na changamoto ya kuziba kwa DPF inayochangiwa na sababu mbalimbali ikiwemo kutumia mafuta yasiyo na ubora. Pili kutumia oil isiyokuwa recommendend kutumika kwa magari yenye DPF hivyo kupelekea DPF kuziba, gari kukosea nguvu na ulaji wa mafuta kwa kiasi kikubwa isivyo kawaida.

Inapotokea changamotomoto hiyo ya kuziba kwa DPF, Leistung lubes tunakuletea suluhisho pekee la bidhaa hii DPF CLEANER kutoka kwa wazalishaji wa vilainishi namba moja duniani LIQUI MOLY na tutakuwezesha kuondokana kabisa na changamoto ya kuziba kwa DPF.

NB:- Kama unatumia gari yenye DPF hakikisha unatumia Oil sahihi, diesel safi na tumia additives za kusafisha mfumo wa mafuta.

#DPFCleaner #DPFMaintenance #DieselParticulateFilter #CleanDPF #EnginePerformance #EmissionsControl #FuelEfficiency #EngineCare #AutomotiveMaintenance

Kwa maelezo zaidi ☎️☎️☎️ 0750596677

📍📍📍 Makumbusho
takeer.com
Play
takeer.com
takeer.com
takeer.com
takeer.com
takeer.com
takeer.com