@crbagro_incubators_cages
Zifahamu Faida chache zakutumia Drinkers(Nipples) za Nguruwe
*uwepo wa maji ya kutosha safi na salama bandani kwa ajili ya Mifugo yako hivo kuepusha magonjwa yatokanayo na uchafu
*husaidia Kupunguza matumizi mabovu ya maji
Huduma ya Nipples hizi utaipata kwa 2,500/= ukiwasiliana nasi
Huduma kwa wateja
+255658972488